Mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Evod Mmanda yamefanyika asubuhi ya leo eneo la Pemba Mvita na kuhudhuriwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Gelasius Byakanwa.
Mazishi hayo yamehudhuriwa na ndugu wachache na kusimamiwa na serikali.
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali itaendelea kuthamini na kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi katika sekta ya elimu kutokana na mchango wake mkubwa…
Na Silivia Amandius Kagera. Shule ya Karume Day and Boarding Medium Primary School imefufua rasmi kituo chake cha ufundishaji wa michezo (Sports Academy) pamoja…