Katibu Mkuu Wizara ya afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya Prof.Mabele Mchembe awasili kwenye ofisi ndogo ya wizara iliyopo jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa wizara hiyo Mh.Ummy Mwalimu