![]() |
| Msimamizi Msaidizi wa uchaguzi Arusha Mjini,Dk Maulid Madeni akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa uandikishaji wapigakura jijini Arusha. |
![]() |
| Wananchi wakijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Osunyai jijini Arusha. |
![]() |
| Wananchi wakijiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapigakura katika kituo kilichopo Shule ya Msingi Osunyai jijini Arusha. |
![]() |
| Mkazi wa Kata ya Elerai jijini Arusha akiangalia jina lake ili akamilishe uandikishaji katika daftari la kudumu la wapigakura utaratibu unaosimamiwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi. |
![]() |
| Msimamizi wa Uchaguzi katika halmashauri ya Jiji la Arusha,Msena Bina akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mwenendo wa uandikishaji wapigakura jijini Arusha. |