
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uganda Marco Elisha Gaguti, Ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma, Julai 17, 2026 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uganda Marco Elisha Gaguti, Ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma, Julai 17, 2026 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akisalimiana na Balozi Mteule wa Tanzania Nchini Uganda Marco Elisha Gaguti, Ofisini kwake Mlimwa Jijini Dodoma, Julai 17, 2026 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
