Yanga SC imefanikiwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/2026 baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo uliochezwa leo, Juni 30, 2026.

Kwa ushindi huo, Yanga SC imefikisha pointi 75 na hivyo kutangaza rasmi ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

Matokeo mengine ya mechi za leo:
Simba SC 1-0 KMC FC,  Fountain Gate FC 2-2 Singida Black Stars FC, 
Namungo FC 2-1 Mtibwa Sugar FC,
Coastal Union FC 0-0 Pamba Jiji FC,
Mashujaa FC 0-0 Tanzania Prisons,
Mbeya City FC 0-0 TRA United FC