Mkurugenzi wa Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Bw. Eleuter Mangi (kulia), akipata maelezo kuhusu huduma zinazotolewa na Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Ajira na Mahusiano kutoka kwa Afisa Sheria wa Ofisi hiyo, Bw. Gerald Mziray. Hafla hii imefanyika Juni 19, 2026 katika Maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, Viwanja vya Chinangali, Dodoma.