Miaka saba ni muda mrefu sana kumkosa mtu unayempenda. Lakini ndivyo ilivyokuwa kwetu baada ya kaka yangu kutoweka ghafla bila kuaga wala kuacha maelezo yoyote. Mwanzoni tuliamini angerudi baada ya siku chache.
Tulidhani labda alikuwa amesafiri au alikuwa na matatizo aliyohitaji kuyatatua peke yake. Lakini siku zikageuka wiki. Wiki zikageuka miezi. Na miezi ikageuka miaka. Kwa kweli ilikuwa kipindi kigumu sana kwa familia yetu….. SOMA ZAIDI
