Matukio mbalimbali katika picha yakionesha Mkurugenzi Mkuu wa VETA CPA Anthony Kasore akiwa amembatana na baadhi ya viongozi wa menejimenti ya VETA Makoa Makuu wakiwa darasani wakifuatilia mafunzo wanayopatiwa wakufunzi 25 VETA ya ujuzi wa teknolojia zinazohitajika katika Uchimbaji na Ukuzaji Mnyororo wa Thamani wa Madini leo tarehe 22 Mei, 2026, katika chuo cha REDUEdu Rovaniamu nchini Finland.