Siku hiyo nilikuwa nimejiandaa kwa meeting ya kawaida tu ya kazi kupitia Zoom. Nilivaa vizuri juu lakini chini nilikuwa nimevaa kawaida, nikidhani hakuna mtu angegundua. Nilikuwa confident kabisa, nikiamini siku ingeisha kama zingine.
Meeting ilipoanza, kila mtu alikuwa online, boss akiwa serious kama kawaida. Tulianza kujadili kazi, lakini ghafla mambo yaligeuka kuwa full drama ambayo sikuwahi kutarajia….. SOMA ZAIDI
