Siku hiyo nilikuwa nimeenda kwa building moja ya kifahari kwa meeting ya kawaida ya kazi. Nilikuwa focused kabisa, nikiwa na plan ya kumaliza shughuli zangu haraka na kuondoka. Sikujua kabisa kuwa siku hiyo ingeniletea unexpected drama.
Nilipoingia lift, mlango ulifunga polepole… na hapo ndipo moyo wangu ulipodunda.
Ndani ya lift alikuwa ex wangu—mtu ambaye tuliachana vibaya sana na hatukuwa tumewahi kuongea tena.
Tulitazamana kwa sekunde chache bila kusema kitu. Hali ilikuwa awkward sana. Kabla hata hatujaanza kuongea, lift ilisimama ghafla. Taa zikapungua, na tukagundua tumekwama……. SOMA ZAIDI
