Afisa Maendeleo ya jamii kutoka kata ya Kateshi wilayani Hanang’ akichangia mada katika mafunzo hayo ya siku moja yaliyoandaliwa na shirika la Oxfam katika wilaya ya Babati mkoani Manyara
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akihitimisha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga
Mzee wa kimila Thomas Madiye Sixista akiwa na mkalimani wake Albert Masuja akielezea namna wao wanavyoshiriki katika kutoa elimu kwa jamii namna ya kujikinga na maambukizi ya uvirusi vya corona
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wakifuatilia kwa makini mafunzo yanayoendelea kutolewa
Muendelezo wa mafunzo ya uelewa juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona kwa watendaji wa vijiji na kata pamoja na wazee wa kimila ,watumishi wa Afya katika mkoa wa Manyara
Daktari Giliad Zablon kutoka hospitali ya wilaya Hanang’Tumaini akiainisha baadhi ya dalili za Covid- 19 kwa washiriki wa mafunzo ya kujengewa uelewa yaliyoandaliwa na kuendeshwa na shirika la kimataifa la Oxfam nchini Tanzania
Msimamizi wa miradi Shirika la Oxfam Tanzania kanda ya kaskazini Donath Fungu akiendesha mafunzo ya kuwajengea uelewa washiriki kutoka wilaya ya Hanang’,Babati,na maafisa sekta ya afya mkoa wa Manyara dhidi ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga
ya athari za virusi vya corona na namna ya kujikinga ikihusishwa na maswala ya
kijinsia na kazi za nyumbani na kuwahusisha watendaji mbalimbali kutoka yaliyofanyika
Babati mjini ukumbi wa Good Life Hotel
Tanzania kanda ya kaskazini Donath
Fungu amesema kuwa shirika hilo limetengeneza utaratibu kwaajili ya
kukabiliana na majanga ,hivyo wameandaa mpango mkakati wa kujihadhari na
kutambua ugonjwa huo una athari kiasi gani katika jamii na namna ya kukabiliana
nao
viongozi wote walioshiriki mafunzo hayo kuhakikisha kuwa jamii kwa ujumla ambayo
inahisiwa ipo katika mazingira hatarishi wanakuwa na taarifa
katika lugha ya kuaminika na taarifa hizo zitoke katika chanzo sahihi na
kuepuka habari zinazoleta taharuki zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii.
kutapika,kuhara,vidonda vya koo,kikohozi wakati mwingine makohozi
yanachanganyika na damu.
kunawa mikono marakwa mara kwa maji tiririka na waepuke kusalimiana kwa kushikana
mikono pamoja na kukumbatiana
Simkoko amesema kuwa wameainisha sehemu maalum za kuwatenga wale wote
wanaohisiwa kuwa na dalili za covid-19 kwaajili ya kuchukuliwa sampuli.
upandaji holela wa vitakatishi vya mikono pamoja nan doo zinazoandaliwa
kwaajili ya maji ya kunawa katika maeneo mbalimbali.
vijiji,wazee wa Kimila wataalamu wa afya
,Maafisa maendeleo ya jamii wilaya Mafisa ustawi wa jamiii,pamoja na madaktari
wa binadamu ambapo waliendesha kikao
hicho kwa njia ya majadala
za kuhakikisha wananchi wanajiepusha na maambukizi imeweka utaratibu kwenye
viwanja vya ndege,kuzuia vibali vya
kusafiri nje yan chi, kufunga shule zote za msingi na vyuo,kuepuka mikusanyiko
isiyokuwa ya lazima, kuhakikisha kuwa kila mwananchi ananawa mikono kwa usalama
wake.
Ugonjwa huu wa Corona
ulitangazwa kuingia nchini kwa mara ya kwanza 16 machi 2020 hadi sasa Tanzania imeripotiwa kuwa na nwagonjwa wapo 13 katika mikao ya Arusha 2 Dar es salaam 8,Zanzibar 2 na Kagera 1 hadi sasa hakuna taarifa zozote za kifo kilichosababishwa na ugonjwa wa virus vya Corona.