Kwa muda mrefu nilikuwa na ndoto ya kupanua maisha yangu na kutoka kwenye hali ngumu ya kifedha. Nilikuwa na mpango mzuri wa biashara ambao niliamini ungeweza kubadilisha maisha yangu pamoja na familia yangu. Tatizo kubwa lilikuwa moja tu mtaji. Nilikuwa nimejaribu kuweka akiba kwa muda mrefu, lakini fedha nilizokuwa nazo hazikutosha kuanzisha kile nilichotaka.
Ndipo nikaanza kufikiria kuchukua mkopo.Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa. Niliandaa documents zote nilizohitaji, nikajaza forms, na kwenda kwa taasisi ya kwanza nikiwa na confidence kuwa mambo yangeenda sawa. Lakini baada ya siku kadhaa za kusubiri, nilikataliwa. Nilijipa moyo nikasema labda haikuwa sehemu sahihi…. SOMA ZAIDI
