Kwa muda wa miezi minne, maisha yetu yalikuwa na pengo kubwa la wasiwasi. Ndugu yetu wa karibu alitoweka kwenye mawasiliano ghafla bila maelezo. Simu yake haikupatikana, ujumbe haukujibiwa, na kila jaribio la kumtafuta lilikuwa linaishia hewani.
Mwanzoni tulidhani ni jambo la muda mfupi labda amepoteza simu au ana changamoto ndogo. Lakini siku zikageuka wiki, na wiki zikawa miezi bila dalili yoyote. Hali hiyo ilianza kutuathiri kihisia na hata kifamilia.
Tulijaribu kila njia tuliyoijua kumtafuta. Tulipita kwa marafiki zake, maeneo aliyokuwa akienda mara kwa mara, na hata kuulizia kwa watu wa karibu. Lakini bado hakukuwa na jibu lolote la kueleweka…… SOMA ZAIDI
