Kuna kipindi nilijikuta katika hali ngumu sana baada ya jina langu kuchafuliwa kwa maneno ambayo hayakuwa ya kweli. Ilianza kama uvumi mdogo, lakini ndani ya muda mfupi ukasambaa na kuathiri taswira yangu kazini na hata kwa watu wa karibu.
Nilijaribu kujitetea, lakini mara nyingi watu walikuwa tayari wameshaamua wanachoamini. Kila nilichosema kilionekana kama kujilinda tu, na hali hiyo ilinifanya nijisikie sina nguvu ya kujitetea tena. Kadri siku zilivyopita, nilianza kuona athari zake.watu walibadilika, wengine walijitenga nami, na nafasi ambazo nilikuwa nikitarajia zilianza kupotea….SOMA ZAIDI




