Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, uratibu na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi akimsikiliza Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Reuben Kwagilwa wakati wa Kikao cha Tisa cha Mkutano wa Tatu Bunge la 13 jijini Dodoma leo Aprili 15, 2026.
NAIBU WAZIRI KWAGILWA ASHIRIKI KIKAO CHA BUNGE
By fullshangwe
April 15, 2026 | 8:19 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
23 minutes ago
NGORONGORO YAIBUKA KIDEDEA TUZO ZA AFRIKA GHANA
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro imeshinda tuzo za kibiashara za Afrika zilizotolewa tarehe 17.Oktoba Mwaka huu jijini Accra nchini Ghana. Katika tuzo hizo zilizoshirikisha…
Mchanganyiko
47 minutes ago
MBUNGE KISWAGA AWALETA WADAU KUTOKA CANADA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAJI NA AFYA KALENGA
NA DENIS MLOWE IRINGA MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, amewaleta wadau wa maendeleo kutoka Canada katika Kituo cha Afya Mgama, wilayani Iringa,…