Waziri wa Mifugo naUvuvi Mhe. Luhaga Mpina akizungumza na Wafanyakazi wa Kampuniya Ranchi zaTaifa (NARCO) alipotembelea Makao Makuu ya kampuni hiyo Nzuguni, Dodoma, leo Kushoto ni MenejaMkuuwa NARCO, Prof. PhilemoniWambura. Kulia ni Mratibu wa Dawati la SektaBinafsi, Steven Michael.
Mratibu wa Dawati la Sekta Binafsi Wizara ya Mifugo naUvuvi, Bw.
Steven Michael akieleza nafasi ya Dawati la Sekta Binafsi katika kuboresha uwekezaji kwenye Kampuni ya Ranchi zaTaifa, NARCO (katikati) niWaziri waMifugonaUvuviMhe. Luhaga Mpina na Kaimu Meneja Mkuu wa NARCO, Profesa Philemon Wambura
Mkurugenzi Msaidizi wa Rasilimali watu, Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Bi. Teddy Njau akifafanua hoja mbalimbali kuhusuWatumishi wa Kampuni ya Ranchi zaTaifa katika ziara ya Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe.
Luhaga Mpina alipotembea Makao Makuu ya NARCO, Nzugunijijini Dodoma.