Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(kulia), akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Balozi wa Qatar nchini, Mhe. Fahad Rashid Al-Marekhi, na baadae kufanya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Qatar, mazungumzo yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam)
MHE. BALOZI OMAR APOKEA UJUMBE MAAALUM KUTOKA QATAR
By fullshangwe
February 27, 2026 | 11:43 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 hours ago
VETA YATUNUKU VYETI VYA UJUZI KWA WAFUNGWA 481
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetunuku vyeti vya Urasimishaji Ujuzi kwa wafungwa 481 waliokidhi vigezo pitia programu ya Mama Samia…
Mchanganyiko
12 hours ago
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA BARAZA LA MAWAZIRI IORA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 25 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi zilizopo Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian…