Je, ni nini hufanyika pale mwanamke anapoamua kuacha kulia kimya na kuchukua hatua kwa busara? Hii ni simulizi ya Stella kutoka mjini Umoja ambaye alihisi ndoa yake ya miaka sita inateleza mikononi mwake polepole. Hakukuwa na ushahidi wa wazi, lakini kulikuwa na dalili zilizomnyima usingizi.
Mumewe, Eric, alianza kubadilika ghafla. Alikuwa na visingizio vya mikutano ya usiku, simu zilizofungwa kwa nywila mpya na tabia ya kutoka nje kupokea simu. Stella alijaribu kuuliza mara kadhaa, lakini alijibiwa kwa hasira au kuchekwa kwamba ana wivu usio na msingi…. SOMA ZAIDI
