Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akiangalia mtungi wa gesi alipofanya ziara katika Shule ya Sekondari ya wasichana Mabwe Tumaini iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Februari 23, 2026, kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya nishati safi kwa taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100. Wengine ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule na Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mabwe Tumaini Bi. Selemia Miyangaa.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange akimsikiliza Bw. Francis Maganga ambaye ni mpishi wa Shule ya Sekondari ya wasichana Mabwe Tumaini iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam alipofanya ziara ya kufuatilia shule zinazotumia nishati safi kupikia na kuachana na kuni na mkaa, Februari 23, 2026.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akizungumza wakati alipofanya katika Shule ya Sekondari ya wasichana Mabwe Tumaini iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Februari 23, 2026, kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya nishati safi kwa taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Festo Dugange (kulia) akiwa katika ziara ya kutembelea Shule ya Sekondari ya wasichana Mabwe Tumaini iliyopo Manispaa ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam Februari 23, 2026, kufanya ufuatiliaji wa matumizi ya nishati safi kwa taasisi zinazolisha watu zaidi ya 100.
