Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), akiagana na Balozi wa Singapore nchini, mwenye makazi yake nchini Singapore, Mhe. Douglass FOO, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo, katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore katika mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji Mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), akizungumza jambo wakati wa alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Singapore nchini, mwenye makazi yake nchini Singapore Mhe. Douglass FOO (hayupo pichani), katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano baina ya Tanzania na Singapore katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji Mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali.

Balozi wa Singapore nchini, mwenye makazi yake nchini Singapore, Mhe. Douglass FOO, akizungumza jambo wakati alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (hayupo pichani), katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji Mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)(Katikati), akimsikiliza Balozi wa Singapore nchini, mwenye makazi yake nchini Singapore, Mhe. Douglass FOO (hayupo pichani) wakati walipokutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban na Kushoto ni Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Melckzedeck Mbise.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (kulia), akimkabidhi Zawadi ya bidhaa mbalimbali zinazozalishwa nchini, Balozi wa Singapore nchini, mwenye makazi yake nchini Singapore Mhe. Douglass FOO (kushoto), baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore katika sekta mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence)  pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji Mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali.

Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) (katikati), Balozi wa Singapore nchini, Mhe. Douglass FOO (wa tatu kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wa tatu kulia), Kamishna Msaidizi wa Idara ya Fedha za Nje, Wizara ya Fedha, Bw. Melckzedeck Mbise (wapili kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Luangisa Francis (wa pili kushoto) na Afisa Dawati anayeshughulikia masuala ya Asia Kusini na Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Singapore, Bi. Desire WEE Zhi Yi (kushoto), wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukutana na kufanya mazungumzo katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, Jijini Dar es Salaam, ambapo walijadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Singapore katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara na uwekezaji, utalii, matumizi ya Akili Unde (Artificial Intelligence) pamoja na kuimarisha mifumo ya ukusanyaji Mapato ya Serikali kwa njia ya kidigitali. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WF, Dar es Salaam)