Naitwa Shadrack, mkazi wa zamani wa jiji la Mwanza. Kwa zaidi ya miaka sita, nilikuwa nimefungua duka la nguo za kisasa (boutique) maeneo ya mtaa wa Liberty. Licha ya kupata mzigo mpya kila mwezi kutoka Nairobi, duka langu lilikuwa kama limepakwa dawa ya kufukuza watu.

Nilikuwa nafika asubuhi, napangusa vioo, kisha nashinda nimekaa mlangoni nikifukuza nzi na kutazama watu wakipita bila kuingia ndani. Nilianza kuonekana kituko, huku mke wangu akianza kunidharau kwa kushindwa kutoa hata hela ya mboga…. SOMA ZAIDI