Maisha yangu yalianza kwa dhoruba ya maneno yasiyo na huruma. Wakati nikiwa kijana, nilipitia changamoto ambazo siku zote nilizihifadhi moyoni mwangu. Marafiki, majirani, na hata familia walikuwa na maneno ya kudhihaki.

Wengi waliniita “tasa,” wengine walisema nilivya mimba bila kuwa tayari. Kila maneno yaliwasha moto wa aibu ndani ya moyo wangu. Kwa miaka 17, kila siku ilikuwa ni kupigana na hisia za huzuni na aibu. Nilijihisi nikipoteza thamani yangu.. … SOMA ZAIDI