Kulitokea vurugu kubwa katika soko la Kariakoosiku ya Alhamisi, baada ya mwanamke mmoja aliyekuwa ameficha rundo la nguo za gharama kwenye chupi yake (undergarments) kupatwa na upofu wa ghafla akiwa anajaribu kutoroka duka la nguo. Mwanamke huyo alianza kupiga kelele, “Nisaidieni! Naona giza! Mbona kumekuwa usiku sasa hivi?” wakati jua lilikuwa likiwaka kali.., SOMA ZAIDI
DRAMA YA KARIAKOO: MWANAMKE AKIYENASWA AKIIBA NGUO AKUMBWA NA UPOFU WA GHAFLA
By fullshangwe
February 12, 2026 | 1:52 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
5 hours ago
VETA YATUNUKU VYETI VYA UJUZI KWA WAFUNGWA 481
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) imetunuku vyeti vya Urasimishaji Ujuzi kwa wafungwa 481 waliokidhi vigezo pitia programu ya Mama Samia…
Mchanganyiko
15 hours ago
TANZANIA YASHIRIKI MKUTANO WA 25 WA BARAZA LA MAWAZIRI IORA
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 25 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi zilizopo Mwambao wa Bahari ya Hindi (Indian…