Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (wapili kulia)akipata maelezo kuhusu mfumo wa shule ndani ya box (school in a box) kutoka kwa mtaalamu wa IOT kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC Faridi Seif wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya Ubunifu iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu , Profesa Maulilio Kipanyula (wapili kushoto)
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (watatu kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Hisham Hendi.( Wapili kulia) juu ya mfumo wa shule ndani ya boksi (school in a box) wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya ubunifu iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia. Kushoto ni mtalaam wa IOT wa Vodacom Tanzania PLC Faridi Seif
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako, (wapili kushoto) akiuliza jinsi mfumo wa shule ndani ya boksi (school in a box) unavyofanya kazi kwa mtalaam wa IOT wa Vodacom Tanzania PLC Faridi Seif wakati wa mchapalo wa uzinduzi wa wiki ya Ubunifu iliyofanyika nyumbani kwa balozi wa Switzerland nchini, iliyoandaliwa na Kaimu balozi, Wa pili Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC Hisham Hendi na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo Rosalynn Mworia.