Kwa muda mrefu, jina lake lilikuwa mfano wa kushindwa. Alikuwa na deni la zaidi ya Ksh2M. Benki zilikuwa zimemkataa. Marafiki walijitenga. Simu zilimlia kila siku. Alilala kwa mawazo. Aliamka kwa hofu.
Biashara yake ilikuwa imeanguka. Miradi ilifeli moja baada ya nyingine. Kila alipojaribu kuinuka, kitu kilimrudisha chini. Alianza kuuza mali zake. Alipoteza gari. Alipoteza heshima mbele ya familia……… SOMA ZAIDI
