Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini (NIRC), Raymond Mndolwa akiwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM mkoani wa Iringa, Daudi Yasin pamoja na waandishi wa habari ili kuwajulia hali na kuwapa pole wanahabari waliopata ajali jana wakitokea kazini Idodi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
……….
MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Taifa ya Umwagiliaji nchini (NIRC), Raymond Mndolwa (mwenye suti nyeusi) akiwa Mkuu wa Kitengo Cha Habari na Mawasiliano (NIRC), Mariam Mziwanda pamoja na waandishi wa habari katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Iringa kuwaona na kuwapa pole wanahabari waliopata ajali jana wakitokea kazini Idodi katika Maadhimisho ya Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduz (CCM)





