Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, amewasili katika uwanja wa Kaitaba na kupokelewa na Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Bukoba Mjini mkoani Kagera, leo tarehe 16 Oktoba 2025.
Dkt. Migiro anaendeleza vema kazi ya kumnadi Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป huku akiwasisitizia Watanzania kuendelea kukiamini Chama Cha Mapinduzi na kuchagua kwa mafiga matatu kwa maana ya Rais, Wabunge na Madiwani.

