PICHA za matukio ya Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiwasili kwenye uwanja wa mpira wa Mama Salmini, Mlandizi ndani ya jimbo la Kibaha Vijijini kwa ajili ya kuwahutubia Wananchi kwenye mkutano wake mdogo ¹wa hadhara wa kampeni leo Ijumaa Oktoba 10, 2025 mkoani Pwani.