Shamrashamra za Mapokezi ya Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati alipowasili kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Usa River Arumeru mkoani Arusha Oktoba 01, 2025.