Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Mtoto kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Sebastian Kitiku akifungua mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Afisa Maendeleo ya Jamii kutoka  Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Christopher Mushi akitoa mada kuhusu  haki za watoto wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Mwakilishi wa Shirika la Campassion Bi. Zinath Sylvester akitoa mada kuhusu  hali ya ukatili katika mkoa wa Geita wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Mhamasishaji  Dkt. Katanta Semwinza akitoa mada kuhusu hali ya ukatili katika mkoa wa Geita wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Baadhi ya watoto wakifuatilia mada wakati wa mdahalo uliwakutanisha watoto, wadau wa maendeleo ya mtoto, wazazi/walezi na viongozi wa dini uliofanyika mkoani Geita.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW