Mgombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Pemba ikiwa ni katika muendelezo wa kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho tarehe 20 Septemba 2025.


Umati wa wananchi waliojitikeza kwa wingi kwenye uwanja wa Gombani ya Kale Pemba kwa ajili ya kumsikiliza Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCMÂ Dkt. Samia Suluhu Hassan ili kuzungumza nap na kuwaomba kumpigia kura za ndiyo katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wanunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 29, 2025.

