RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wakiwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, (kulia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi.Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Mhe. Haji Omar Kheri.(Picha na Ikulu) 25-2-2020.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Mhe. Haji Omar Kheri . akiwasilisha muktasari wa Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020 uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (Kushoto) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Maofisa wa Idara mbalimbali za Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, wakifuatilia mkutano huo wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yao kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 hadi 2020. Uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) (Picha na Ikulu) 25/2/2020.
KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ. Bi. Radhia Rashid Haroub akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Wizara yake kwa kipindi cha mwezi wa Julai hadi Disemba.2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ukingozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu) 25/2/2020.
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.Ndg. Saleh Mohammed Juma, akijibu swali wakati wa mkutano wa Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, uliofanyika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. Ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk, Ali Mohamed Shein.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kaskaziniu Unguja Ndg. Omar Hassan Masoud akitowa maelezo wakati wa mkutano wa kuwasilisha Taarifa za Utekelezaji Mpango Kazi kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, kwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maaluim za SMZ. Uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Katibu Tawala wa Wilaya Ndogo ya Tumbatu Ndg. Khatib Habib Ali, akitowa maelezo wakati wa mkutano wa kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji Mpango Kazi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.kwa mwezi wa Julai hadi Disemba 2019 /2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)