Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  akiwasili katika viwanja vya Katosho Bandari Kavu kata ya Gungu mkoani Kigoma ambapo atawahutubia Wananchi waliofurika kwa wingi katika mkutano wa kampeni wa CCM  na kuwaomba kumpa kura za ndiyo katika uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 nchini kote.