Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Ikungi Mashariki katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.

Sehemu ya Wananchi wa Ikungi Mashariki waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025. Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Ikungi Mashariki mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.