Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan arejesha Fomu za kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Njedengwa Jijini Dodoma

DKT. SAMIA SULUHU HASSAN NA BALOZI NCHIMBI WAREJESHA FOMU TUME HURU YA UCHAGUZI
