Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Khatibu Malimi Kazungu kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Laurean Josephat Ndumbaro kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Deo Osmund Mwapinga kuwa Balozi kwenye haflailiyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Salama Aboud Twalib kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ndugu Hassan Omari Kitenge kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Umma kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
Viongozi Wateule wakiapa Kiapo cha Maadili kwenye hafla fupi iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya Uapisho wa Viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza mara baada ya kuwaapisha Viongozi mbalimbali, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 26 Agosti, 2025.
