RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja awamu ya pili ya ujenzi huo,(kushoto) Muwekezaji Mzawa wa Mradi huo Ndg.Hassan Mohammed Raza, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Muwekezaji Mzawa wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Ndg.Hassan Mohammed Raza, alipowasili katika viwanja vya hoteli hiyo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya jengo jipya la Hoteli Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Jijini Zanzibar, ufunguzi huo uliofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Awamu ya Pili, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja awamu ya pili ya ujenzi huo,(kushoto) Muwekezaji Mzawa wa Mradi huo Ndg.Hassan Mohammed Raza, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, hafla hiyo ya ufunguzi iliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Muwekezaji wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Ndg.Hassan Mohammed Raza wakati akitembelea moja ya chumba cha mazoezi katika hoteli hiyo, baada ya kuifungua leo 12-7-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Shariff Ali Shariff.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Muwekezaji mzawa wa Mradi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Ndg.Hassan Mohammed Raza akitowa maelezo ya mradi huo, wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la hoteli hiyo awamu ya pili uliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar awamu ya pili, ufunguzi huo uliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, awamu ya pili, hafla hiyo iliyofanyika leo 12-7-2025.(Picha na Ikulu)