
Mkurugenzi wa Taasisi Ya “Tuongee Dorry William akisaini baada ya kuchukua fomu ya kugombea ubunge
Happy Lazaro,Arusha .
Mkurugenzi wa Taasisi Ya “Tuongee” na aliyeshinda mwanamke wa dhahabu 2024 kwa jina la Dorry William amechukua fomu ya ubunge viti maalumu mkoa wa Arusha leo .
Aidha fomu hiho ameichukulia katika ofisi za CCM mkoa wa Arusha