Aliyekuwa Mbunge Viti Maalum Mkoani Pwani, Subira Mgalu amechukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Bagamoyo. Katibu wa Chama Cha Mapinduzi( CCM) Bagamoyo, Shaban Karage alikiri kumkabidhi fomu hiyo leo Juni 29,2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratias John Ndejembi, amezitaka Wizara na Taasisi za Serikali kuhakikisha mifumo yao inasomana na…