Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Mwanza akiwa njiani kuelekea Bariadi Mkoani Simiyu kwa ajili ya ziara ya Kikazi mkoani humo

RAIS SAMIA AWASILI MWANZA AKIELEKEA MKOANI SIMIYU KUANZA ZIARA YA KIKAZI
