- MANCHARE HECHE SUGUTA
Tunapenda kuutarifu Umma kwamba mtajwa ambaye picha yake inaonekana hapo juu alikuwa mtumishi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kwasasa, Bw. Manchare Heche Suguta amepangiwa majukumu mengine kwa utaratibu wa kawaida wa Serikali hivyo hatahusika na shughuli zozote za Baraza wala Ofisi ya Makamu wa Rais.
Imetolewa na
Mhandisi Joseph K. Malongo
Katibu Mkuu