Makamu Mwenyekiti CCM Bara Komred Stephen Wasira ameanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma ambayo inatarajia kukamilika Juni 12 mwaka huu. Katika uwanja wa ndege wa Songea Wasira amepokewa na viongozi mbalimbali wa chama na serikali wakiongozwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Komred Oddo Mwisho na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed
MAKAMU MWENYEKITI CCM BARA AANZA ZIARA YA KIKAZI RUVUMA
By Alex Sonna
June 9, 2025 | 9:15 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
2 minutes ago
YAS NA MIXX KUPELEKA HUDUMA KWA WATEJA MASOKONI NCHINI, WATEJA KUJISHINDIA ZAWADI MADUKANI
Afisa Mkuu wa Udhibiti wa Yas Tanzania, Bi. Sylvia Balwire (katikati), akishirikiana na viongozi waandamizi wa Yas na Mixx kukata keki kuashiria uzinduzi wa…
Mchanganyiko
2 hours ago
TANZANIA, ALGERIA KUANZA USHIRIKIANO UZALISHAJI WA DAWA NCHINI
Tanzania na Algeria kuanza ushirikiano katika sekta ya afya, hususan katika uzalishaji wa dawa na bidhaa za afya, uhamishaji wa teknolojia na uwekezaji, hatua…