Katika maisha sikuwahi kuwaza kamwe kwamba ndoa yangu ingekaribia kuvunjika miezi michache tu baada ya harusi yetu ambayo ilihudhuriwa na watu wengi na kuteka mazungumzo kila kona kwa yale yaliyojiri. Yote ilianza usiku wa harusi yetu, wakati mimi na mume wangu tukitazamia kuanza kufaidi matunda ya ndoa, mambo yalienda ndivyo sivyo kabisa. Tulikuwa tukiingoja siku […]…… SOMA ZAIDI
DUH! USIKU WA MAHARUSI ULIVYOGEUKA KUWA SHUBIRI, KISA?
By fullshangwe
May 26, 2025 | 1:25 am

Related Stories
View all
Mchanganyiko
8 minutes ago
KADOGOSA AAGIZA BARABARA YA MOROGORO–DUMILA–DODOMA KUPITIKA WAKATI WOTE
Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imeelekeza kuimarishwa kwa maandalizi ya kukabiliana na athari za mvua katika barabara ya Morogoro–Dumila–Dodoma, hususan eneo la Daraja la…
Mchanganyiko
18 minutes ago
NAIBU WAZIRI MILLYA ATOA WITO WA UWEPO WA UANGALIZI WA UCHAGUZI WA KITAALAMU NA USIO NA UPENDELEO BARANI AFRIKA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, anayeshughulikia Masuala yaAfrika Mashariki, Mhe. James Kinyasi Millya (Mb), ametoa wito wa kuimarishwa…