Baadhi ya watu hutumia mbinu zisizo halali ili kuvutia wateja katika biashara zao, kuna muda baadhi ya mbinu hizo huongeza vitu vyenye madhara kwa bidhaa zao ambazo wanauza. Ndicho alikuwa anafanya mfanyabiashara wa vyakula katika ya mji ambaye alinaswa akiongeza dawa za kuongeza nguvu za kiume aina ya viagra na bangi kwenye uji wake. Mfanyabiashara […]….. SOMA ZAIDI
MREMBO AKAMATWA AKIWEKA VIAGRA KATIKA UJI!
By fullshangwe
May 21, 2025 | 11:37 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
9 hours ago
DC SHAKA HAMDU SHAKA APONGEZA UAMUZI WA SERIKALI YA RAIS SAMIA KUJENGA UPYA DARAJA LA MAGOLE
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Mh. Shaka Hamdu Shaka, amepongeza hatua na uamuzi wa Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wa kujenga upya…
Mchanganyiko
11 hours ago
MAKAMU MWENYEKITI UVCCM REHEMA SOMBI AWAHIMIZA VIJANA KUWA NA NIDHAMU NA KUSHIRIKI MAENDELEO YA TAIFA
Makamu Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Ndg. Rehema Sombi Omary (MNEC), amewahimiza vijana kuwa na nidhamu na uzalendo akisisitiza umuhimu wa kushiriki kikamilifu katika uongozi…