Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akiongozwa na wapambe kutoka kwenye ukumbi wa Bunge jijini Dodoma baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusoma hotuba ya kuahirisha Bunge, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na wabunge baada ya kusma hotuba ya kuahirisha Bunge jijini Dodoma, Februari 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)