Klabu ya soka ya yanga imeandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa
“Nguli wa mfumo wa soka la Kisasa yaani Modern Football fundi Carraca Antonio Domingoz Pinto ambaye alikuwa Mtendaji Mkuu (General Manager) wa Klabu Benfica ya Ureno kwa muongo mmoja (miaka 10) atua rasmi Dar es salaam ili kuanza kazi ya kushauri kueleka Mabadiliko ya kimfumo ya uendeshaji wa Klabu.