Roberto Firmino, Jordan Henderson, Mohamed Salah, na Georginio Wijnaldum wakishangilia baada ya Liverpool kupata bao la kwanza jana katika ushindi wa 2-0 dhidi ya West Ham United kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa London. Mabao ya Liverpool yalifungwa na Mohamed Salah dakika ya 35 kwa penalti na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 52 na kwa ushindi huo, Wekundu hao wa Anfield sasa wanaongoza Ligi Kuu kwa pointi 19 zaidi ya Manchester City wanaofuatia baada ya wote kucheza mechi 24 PICHA ZAIDI SOMA HAPA
LIVERPOOL YAICHAPA 2-0 WEST HAM UNITED YAANZA KUUTAFUTA UBINGWA
By Alex Sonna
January 30, 2020 | 8:01 am

Related Stories
View all
Michezo
1 day ago
LIONEL MESSI AANDIKA HISTORIA MPYA YA KOMBE LA DUNIA
Timu ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Austria katika mchezo wake wa pili wa hatua ya makundi…
Michezo
2 days ago
YANGA SC YASALIMU AMRI MBELE YA AZAM FC
Matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Yanga SC katika mchezo wa nusu…
