Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kulia) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Mwingine pichani ni Bw. Godfrey Mulisa Mtaalam wa masuala ya utawala wa Umoja wa Mataiafa.
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kushoto) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi (kulia) alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kwa ajili ya kujitambulisha. Wengine pichani ni Wakurugenzi kutoka Wizarani hapo.