Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wa Afrika Mashariki (EACOP), Bw. Philippe Groueix, Kando ya Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi unaozihusisha nchi za Afrika Mashariki unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, JNICC, Jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa EACOP, Bw. Guillaume Dulout. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)
DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI WA AFRIKA MASHARIKI
By fullshangwe
March 5, 2025 | 4:19 pm

Related Stories
View all
Mchanganyiko
29 minutes ago
DKT. MWIGULU MGENI RASMI HARAMBEE YA MAENDELEO YA KKKT
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo, Jumatatu Oktoba 5, 2026, ni mgeni rasmi katika harambee ya kuchangia maendeleo ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri…
Mchanganyiko
2 hours ago
KIKOSI CHA WACHEZAJI CHIPUKIZI 18 CHA ZANZIBAR CHAONDOKA KUELEKEA BRAZIL KUSHIRIKI PQCUPBRASIL 2026
Kikosi cha Zanzibar Spice Boys, chenye wachezaji chipukizi 18 wenye umri wa miaka 12 na 13, leo alfajiri wameondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa…