NJOMBE,Mamia wameshiriki dua ya pamoja maalumu ya kumuombea Rais wa Jamhuri ya muungano Tanzania Dr Samia na taifa kwa ujumla wilayani Makete mkoani Njombe na kisha kutumia sadaka zilizotolewa na waombaji kutolewa msaada kwa waye mahitaji maalumu wakiwemo wazee,yatima na walemavu wanaoishi katika wilaya.
Awali mbunge wa Makete Festo Sanga na Mkuu wa wilaya ya Njombe Juma Sweda wamesema kwa kuwa mungu ameweka maono kwa viongozi wa nchi katika kutumikia watu hivyo kuna haja Ya kuombea viongozi wa nchi watekeleza maono ili wapate hekima na maarifa ya kuongoza vyema na kisha kueleza namna suala uchaguzi mkuu ujao lilivyo na ulazima kufunga na kuomba ili limalizike kwa amani.
Wamesema wameguswa kufanya maombi maalumu ya Rais na ,uchaguzi na amani ya nchi kwasababu mungu ndiyo mlinzi wa mwanadamu.
Kwa upande wao viongozi wa dini akiwemo Shekh wa wilaya Ya Makete Anwari Sanga amesema katika dua hiyo wamechangia sadaka ilo kusaidia wenyw uhitaji ambapo Mbunge Sanga amechangia shilingi laki 5 .
Nae Rodrick Sanga mwenyekiti wa chadema makete amesema tujitahidi kueonyesha upendo kwa makundi yote na kmamba itikadi za kisiasa zisiwe td






